Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mungu Baba Mwenyezi asante sana kwa kutuamsha tukiwa salama,tunakuomba utubariki siku ya leo ikawe njema ya kukupendeza,tunawaombea wagonjwa,wafiwa,wanaouguza,wenye changamoto yoyote Baba ukawape wepesi,tunawaombea wasafiri Mungu ukawalinde vyombo vyote vya usafiri majini,nchi kavu,angani viwe salama,Bariki kazi za mikono yetu Baba ili kila mmoja apate riziki halali,tunaombea ndoa zote,uchumba na mahusiano yawe ya amani.Baba tunakushukuru kwa kuwa utafanya sawa na mapenzi yako tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
Amina mkuu
 
NUKUU YA LEO

If you love life, don't waste time for time is what life is made up of

Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha
be674a522c06537c4ca8c415d42b0be6.jpg

Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.

Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.

Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.

Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
be5bbcfb926bfaee16032fe279874035.jpg

825cfee7923271bad38aef8f415e4248.jpg

Time is life, life is time..!

Mchana mwema wakuu.
Shukrani sana boss
 
Asante mkuuu
 
Nawe pia mkuu
 
Nakitafuta hiki
Hajakiandika mwenyewe. Huwa anatumia ghost writers na wengine wamemshtaki kwa kutokuwalipa; na mawazo mengi yaliyomo katika vitabu hivi mara nyingi ni common sense tu (kama ya Shigongo) na mengi hayana practicality yo yote ndiyo maana inasemekana ana madeni mengi kuliko assets + bankruptcy kibao. Wanasema hii ndo sababu kuu hataki kabisa kuonyesha makaratasi yake ya kodi ambayo anaogopa kuwa yatamuumbua kwa kuonyesha kuwa ana hela kidogo kuliko anavyotamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom