jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Nenda kasome hapa Tutahakikisha tunawaua ndani ya wiki mojaChama cha mapinduzi(CCM)kupitia ilani yao kuu ya mwaka 2015 inawatakia wananchi wote sikukuu njema ya PASAKA..
Nenda kasome hapa Tutahakikisha tunawaua ndani ya wiki mojaChama cha mapinduzi(CCM)kupitia ilani yao kuu ya mwaka 2015 inawatakia wananchi wote sikukuu njema ya PASAKA..
Mboa nipo kakaSikuoniii
Nipo sema majukum yanabana ila saiv nipo vip maandaliz ya pasakaMungu yu mwema kwetu tupo salama,wewe je huonekani kabisa ubarikiwe mkuu
Mungu yu mwemaNamshukuru Mungu sijambo kabisa je wewe hali yako?unaendeleaje karibu
Mzee mkavu nakukosa kwenye angaHabari za saa hii
Anga zako ...Anga ipi iyo![]()
![]()
shedede umepotea ukija unasalimia na kusepaHabari za saa hii
Ukitaka kujua mi nipo chepuka uoneshedede umepotea ukija unasalimia na kusepa

Salama mkuuHabari za saa hii
Umepotea charlieSalama mkuu
Likizo imekwisha?Habari za saa hii
Nipo ndugu nimejaa tele humuUmepotea charlie
Hahahhh naona charlieNipo ndugu nimejaa tele humu
Karibu tuangalie game ya Leverkuersen na MunichHahahhh naona charlie
Naona charlie enhe kumeendaje hukoKaribu tuangalie game ya Leverkuersen na Munich
I'm here my wii...Wow Patience123 njoo nikuone my wii
Kweli umedumu KF...hongera,wapi Jimena ?Karibu mzee wa BAN