Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Hili jibu linamfanya mhusika azimie kwa dakika mbiliLabda umuumbe mwenyewe
Hili jibu linamfanya mhusika azimie kwa dakika mbiliLabda umuumbe mwenyewe
Mbona wangu humuulizi!!!
Enhee nae yukwapi sikuhizi?Ameizing
Kwani umemweleza yako ya moyoni mpaka ushangae kuwepo humuMpk Valentina yumo humu halafu sijui mnaniambia niwatoe nje
Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Wako ni yupi?Mbona wangu humuulizi!!!
Hebu kamdake, asije angukia jiweHili jibu linamfanya mhusika azimie kwa dakika mbili
Sio vizuri nikianika mambo yake dadanguEnhee nae yukwapi sikuhizi?
Patience123Wako ni yupi?
Ooh basi njoo ninong'oneze mwenzioSio vizuri nikianika mambo yake dadangu
Mmmmh
Nimemwandalia bwawa ili awe chakula cha samakiHebu kamdake, asije angukia jiwe
Wow Patience123 njoo nikuone my wiiPatience123
AnaleaWow Patience123 njoo nikuone my wii
Jmniii siweziiiiOoh basi njoo ninong'oneze mwenzio
Analea dume au jike?Analea
Njoo unywe mtori, alaaaAnalea dume au jike?