Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Patience123 karibu mamii
Patience123
Patience123
usipotee hivyo au wifi anakubana sana shededeUkitaka kujua mi nipo chepuka uone![]()
![]()
Amen, Mungu akupe maisha marefu mpenzi
Niliwapitia asubuh ...wengi wanakuja kutuchungulia na kumezesha wengine sumuMi sina muda wa kujibizana nao....kitu vizuri zinajulikana wala hakihitaji promo
Halafu kwani kuna sheria ya JF kuhusu utoaji wa likes![]()
Halafu kijamaa kinachoanza na herufu "D" ni kipuuzi ....hawa ndo wanasoma nondo zetu humu kila siku zen hujifanya kuponda
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/20637726
Snitch
........
.....
Wifi gani huyo faiza foxy auusipotee hivyo au wifi anakubana sana shedede

naona ni kuhusu kuokoka kwan ww umeokoka![]()
vyovyote, sio lazima uokoke
Anasubiria kula pensheni ya likizo na kupangiwa kazi nyingineLikizo imekwisha?
Wanafiki wakubwa eti "siingiagi kwenye uzi wao"Niliwapitia asubuh ...wengi wanakuja kutuchungulia na kumezesha wengine sumu
Asante mkuu kwa updates ...naona azam anazipenda droo kama ice creamMatokeo ya mechi zilizochezwa leo Africa mashariki
Kenya premier League
![]()
Tanzania VPL
![]()
Uganda Premier League
![]()
Napenda kuutambua mchango wako kaka Bitoz katika updates za michezo
Mi nilichofanya ni kuwakaribishaWanafiki wakubwa eti "siingiagi kwenye uzi wao"
Sasa ya huku wameyajuaje?
.......
Ushapata taarifa za Mr T ??Wifi gani huyo faiza foxy au![]()
![]()
![]()
Mkubwa tembo bitoz umenenaWanafiki wakubwa eti "siingiagi kwenye uzi wao"
Sasa ya huku wameyajuaje?
.......
Bossy wako anaendeleaje?Nipo ndugu nimejaa tele humu
Naona shemu katutembeleaaAmen, Mungu akupe maisha marefu mpenzi