Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Swadakta Ijumaa ilikuwajeKwema mkuu
Swadakta Ijumaa ilikuwajeKwema mkuu
Hahahaaa bado mkuu, ngoja nitupie ndoano inaweza kuopoa nyangumiKwani umemweleza yako ya moyoni mpaka ushangae kuwepo humu
Huku ni nyumbani mkuuMpk Valentina yumo humu halafu sijui mnaniambia niwatoe nje
Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Hunioni auWow Patience123 njoo nikuone my wii
Mbona huyo ke hajajifunika???
Malawi kunani?Sawa mkuu
Mkuu mbona unanikatisha tamaa hivyo![]()
![]()
Ukisubiria huku ni sawa na dereva akusikilize wewe abiria
Hiyo kazi tumuachie QUIGLEYAise hebu akuje bana anamisika sana
Njema sanaSwadakta Ijumaa ilikuwaje
Daah hakuingiliki hukuHuku ni nyumbani mkuu
Familia ya kihindi hii watu na watu wao ndani ya mjengo
tumuulize dadakeWapi dada shunie
Sawa ila wenye nae watakuja kukuambia kuwa ni shemeji yakoHahahaaa bado mkuu, ngoja nitupie ndoano inaweza kuopoa nyangumi
Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Salama mkuu za huko za ibada ubarikiweUmeshindaje mama mchungaji
Khaaaaa!!! Huyu nayeSawa ila wenye nae watakuja kukuambia kuwa ni shemeji yako
Nipo kwaajili ya kazi ya siku NNE kesho kutwa narudiMalawi kunani?
Natania tu mkuu maana wanasema mvumilivu anakulambivu
Weather ya Dar unaijua baba mchungajiMbona huyo ke hajajifunika???
Angalia usije ukaambiwa shushushu ukawekwa katiNipo kwaajili ya kazi ya siku NNE kesho kutwa narudi
Usikate tamaa kizembe