Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sio kunibana ila natakiwa kuwa updated all timehahahaha kwahiyo kazi ya ulinzi inakubana sana
Sio kunibana ila natakiwa kuwa updated all timehahahaha kwahiyo kazi ya ulinzi inakubana sana
safi sanaSio kunibana ila natakiwa kuwa updated all time
Ahsante shemsafi sana
Pole sana ,ila tunapswa kuvumilia n kufanya matendo ya huruma si kwa ndugu tu hata kwa watu baki.Suala la kuuguza ndugu linahitaji moyo sana wa kujitolea
Nakumbuka nililala sana pale MNH almost miezi miwili kwa kuuguza honestly unachoka ila unapata nguvu ndugu wakija kukutembeleeni.
Asante,na hilo limepita namshukuru MunguPole sana mama mchungaji

Mungu atuzidishie upendo mkuuPole sana ,ila tunapswa kuvumilia n kufanya matendo ya huruma si kwa ndugu tu hata kwa watu baki.
Siku chache hizo nilipokua na mgonjwa muhimbili nimekutana na watu hawana ndugu kabisa,wanatamani hata wa kumwambia umeamkaje na kumpa uji,kuna mzee wa kiume ana miezi kumi pale ,mke watoto wamekimbia na hajui aende wapi ,ea mikoani ndio kabisaa wanatoroka hospitali huku wangali wagonjwa.Mungu atusaidie sana
Bwana asifiweAsante,na hilo limepita namshukuru Mungu![]()
aisee inasikitisha sanaPole sana ,ila tunapswa kuvumilia n kufanya matendo ya huruma si kwa ndugu tu hata kwa watu baki.
Siku chache hizo nilipokua na mgonjwa muhimbili nimekutana na watu hawana ndugu kabisa,wanatamani hata wa kumwambia umeamkaje na kumpa uji,kuna mzee wa kiume ana miezi kumi pale ,mke watoto wamekimbia na hajui aende wapi ,ea mikoani ndio kabisaa wanatoroka hospitali huku wangali wagonjwa.Mungu atusaidie sana
Mrudie mola wako , hakika hutoogopa kufapole sana kwa ulivyoumwa
yaan mm naogopa kufa serious yaan ata sijui nikiumwa ata malaria nawaza sijui naweza kufa Mungu anisaidie anipe mwisho mwema
unamaanisha niokokeMrudie mola wako , hakika hutoogopa kufa
Mungu hapendikwa shetani
utani tuMungu hapendi
Mmh ni ngumu,hatuwezi amua na kifo kipo hatuwezi kikimbiaKifo cha ghafla ndo kizuri kwa marehemu maana haupati msoto sana....Mimi ndo chaguo langu km ingekuwa tunachagua
Kifo cha kuumwa ni kibaya kwa marehemu nafikiri km umewahi kulazwa unafahamu jinsi mtu unavyootaota ndoto za ajabu na stress za kufa mtu pia watu kuuguza wanakuchoka maanaunawapotezea fedha na muda japo hawawezi sema na hata ukifa moyoni huwa wanafurahi umewapunguzia mzigo mgonjwa gani hata nafuu hupati
![]()
![]()
![]()
......
KabisaMungu atuzidishie upendo mkuu
ila si haba lkn mana hao toto wakikamia wanatufungaga