Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KwaitoUnapendaa upii
KwaitoUnapendaa upii
Ndio mamyunaandika lkn teh
Pole mkuu mawodini kuna mengi,Mungu yupo100%,nguvu za giza pia zinajitokeza unapoumwa unapswa kusimama katika imani kwamba Mungu yupo na anakuponya,unapoona maluweluwe kemea na kumkumbusha Mungu juu ya imani yako kwake na hauko tayari kumuacha..pole sana sana kwa ulilopitia.Mi nimewahi kulazwa siku 10 nilikuwa na Malaria 20+ aisee siku 1 wodini niliiona ndefu km wiki kitaa
Mara mgonjwa huyu afe, usiku ndoto mbaya za kufa MTU, yaani stress na mawazo ya kufakufa tu haswa km nafuu hupati
Ukweli kuugua sio kufa ila chamoto utakiona maana hakuna asiyejua ugonjwa ni chanzo cha vifo
....
Utachezaa ya kwakooKwaito
inaogopesha sana sanaPole mkuu mawodini kuna mengi,Mungu yupo100%,nguvu za giza pia zinajitokeza unapoumwa unapswa kusimama katika imani kwamba Mungu yupo na anakuponya,unapoona maluweluwe kemea na kumkumbusha Mungu juu ya imani yako kwake na hauko tayari kumuacha..pole sana sana kwa ulilopitia.
.nilikua na mgonjwa juzi niliiona dunia chungu,namhudumia huku watu wanakata roho,alikua amefaint siku nzima,kuzinduka anaona dead body pembeni,akazimia tena masaa matano jamani,ukitaka kujua vifo vipo nenda hospitali kunatisha,kunakatisha tamaa..tumuombe Mungu sana sana atupe vifo vyema.
Karibu tuangalie mpira Inter Milan vs AC MilanSitaweza kweli
Hebu tuambie mmefikia hatua gani mpaka sasaMimi niko tazara mkuu tunacheza na zege apa kazi tuuu
Baadae tunaamia ubungo
MmmmhKaribu tuangalie mpira Inter Milan vs AC Milan
Harakati kwa sasa hakuna kazi yangu ya kuhakikisha usalama kwa Sakayo si rafiki na ishu za ubavu wa kushotomzee wa harakatihivi bado tu haujaopoa utuletee kawifi huku
hahahaha kwahiyo kazi ya ulinzi inakubana sanaHarakati kwa sasa hakuna kazi yangu ya kuhakikisha usalama kwa Sakayo si rafiki na ishu za ubavu wa kushoto
Ndio hakuna wa kumbadilisha
Tupatie nukuu yake mkuu******** achunge kauli zake kila siku anaropoka
Kauli yake leo inaonesha ana chuki za wazi na sekta binafsi....pia jeshi kupewa tends ni kudhoofisha mzunguko wa fedha na siyo kitu cha kushabikia maana pesa wanazungushiana wao kwa wao serikalini
.......
Kifo hakina umri
Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja
Hivyo ukisema wamekufa mapema kuna wengine pia mapema zaidi yao
...

Yote ni mipango ya MunguHakina umri ndio ila kuna kifo ambacho kinaumiza zaidi ya tunavyofikiri...
Mtu sio mgonjwa, kaenda kazini halafu mnaletewa marehemu!!!
Suala la kuuguza ndugu linahitaji moyo sana wa kujitoleaKifo cha ghafla ndo kizuri kwa marehemu maana haupati msoto sana....Mimi ndo chaguo langu km ingekuwa tunachagua
Kifo cha kuumwa ni kibaya kwa marehemu nafikiri km umewahi kulazwa unafahamu jinsi mtu unavyootaota ndoto za ajabu na stress za kufa mtu pia watu kuuguza wanakuchoka maanaunawapotezea fedha na muda japo hawawezi sema na hata ukifa moyoni huwa wanafurahi umewapunguzia mzigo mgonjwa gani hata nafuu hupati
![]()
![]()
![]()
......
Pole sana mama mchungajiPole mkuu mawodini kuna mengi,Mungu yupo100%,nguvu za giza pia zinajitokeza unapoumwa unapswa kusimama katika imani kwamba Mungu yupo na anakuponya,unapoona maluweluwe kemea na kumkumbusha Mungu juu ya imani yako kwake na hauko tayari kumuacha..pole sana sana kwa ulilopitia.
.nilikua na mgonjwa juzi niliiona dunia chungu,namhudumia huku watu wanakata roho,alikua amefaint siku nzima,kuzinduka anaona dead body pembeni,akazimia tena masaa matano jamani,ukitaka kujua vifo vipo nenda hospitali kunatisha,kunakatisha tamaa..tumuombe Mungu sana sana atupe vifo vyema.
Ni liveMmmmh