Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mungu awalaze mahali pema peponi
Mungu awalaze mahali pema peponi
YaaniDuuuh haya mambo tuyaangalie kwa jicho la tatu
Kifo hakina umriAisee
Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani
umeshambiwa usubili singeri ya manfongoSaana
Ndo ugonjwa wangu
Nimejaribu kufutiria mijadala mingi kuna watu hawana utu na watu wengneYaani
Ni ajabu wakaliacha halafu ije ijirudie tena baada ya muda
Hahahaumeshambiwa usubili singeri ya manfongo
wadogo sana pole sana kwa familia zaoAisee
Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani
Sina hiyo tabia ya kupigapigaanjo unipige nacho
Hakina umri ndio ila kuna kifo ambacho kinaumiza zaidi ya tunavyofikiri...Kifo hakina umri
Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja
...
Mengine baki nayo moyoniiiBasi Sawa
Ndo namkanda hapa, taratibu
Naona imepenya hiyoMengine baki nayo moyoniii
HahahaSina hiyo tabia ya kupigapigaa
Yaaniwadogo sana pole sana kwa familia zao
Ushapigwaaa ??aisee kwa nyuma ndio wanapiga
sijawahi na sitawahiUshapigwaaa ??
inasikitisha sana sanaYaani
acha uchocheziNaona imepenya hiyo
Mungu awalaze pemainasikitisha sana sana