BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pole sana mkuu ni kweli apangalo Mungu huwa,Mungu anaruhusu ili tuweze kumfahamu na kumheshimu siku zote za maisha yetu,hatujui siku wala saa ambayo atatuita hatujui umri tutakaokua nao tunapaswa kuwa tayari kiroho na hata wenzetu wanapotangulia tufahamu kuwa hata sisi tutafuata lini ni siri yake Mungu ,kifo gani Mungu anajua ..tujiweke tayari na kuwaombea wenzetu waliotangulia japo namna vifo vinavyotokea vingi vingeweza zuilikaKifo hakina umri
Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja
...
haya mambo uyasikie tu