mkuu rasilimali kma hii haitakiwi izame ni hasara kwa taifaHuyu wa leo atazamisha boya
Ni kweli mkuumkuu rasilimali kma hii haitakiwi izame ni hasara kwa taifa
Leo ni Ijumaa kuu mkuu hakuna kula nyama yoyote![]()
nipo kitengo cha wokozi na dharura. hawa viumbe wameanza kujitupa baharini hawataki kuisoma number
MaranathaShalom QUIGLEY
Asante sana,asanteni sana kwa maombi na dua zenu mbarikiwePole mama mchungaji..
Nawe pia mkuu ubarikiweWakuu tuwe na usiku mwema
Asante Lee Mungu yu mwema,nawashukuru kwa maombi yenu.Polee mama mchungaji
Njema mkuuHabari za usiku ?
Wazima tunanshukuru MunguWazima humu
Jana nimeanza mazoezi ya kukimbia ...aise MUNGU mkubwaNi poa kabisaa
Vipi mguu wauonaje
Man u kwa 70% wanaweza kuwa Europa champion mwaka huuMatokeo ya UEFA EUROPA LEAGUE
![]()
Mama umepatwa na nn!?Asante Lee Mungu yu mwema,nawashukuru kwa maombi yenu.
Bhinamu na wewe piaaIjumaa njema Makapuku. Maandalizi mema ya sikukuu