Makapuku Forum

Makapuku Forum

4e31dabd2b69715ca8ff0422d4384ff4.jpg
 
lee empire , hebu nieleweshe kigezo cha Simba kupewa hizo point 3, haiadd up as tulifungwa kiwanjani.

Bhinamu iko hivi Kamati ya saa 72 iliyokaa kikao jana April 13 na kuamua kuhusu malalamiko ya Simba kwaKagera Sugar kuhusu kumtumia mchezajiMohamed Fakhi katika mchezo dhidi yao April 2 2017 akiwa na kadi tatu za njano kinyume na taratibu na kanuni za Ligi.

Simba walipeleka malalamiko hayo katika bodi ya Ligi na kuomba ipitie ripoti za waamuzi ili kujulikana ukweli, na jana April 13 kamati ya saa 72 chini ya mwenyekiti wake Hamadi Yahaya ilikaa na kujiridhisha kuwa Kagera walikiuka taratibu hizo kwa mujibu wa Kanuni Simba wamepewa point zote tatu za mchezo dhidi yao....ndo hivo mkuu
 
Bhinamu iko hivi Kamati ya saa 72 iliyokaa kikao jana April 13 na kuamua kuhusu malalamiko ya Simba kwaKagera Sugar kuhusu kumtumia mchezajiMohamed Fakhi katika mchezo dhidi yao April 2 2017 akiwa na kadi tatu za njano kinyume na taratibu na kanuni za Ligi.

Simba walipeleka malalamiko hayo katika bodi ya Ligi na kuomba ipitie ripoti za waamuzi ili kujulikana ukweli, na jana April 13 kamati ya saa 72 chini ya mwenyekiti wake Hamadi Yahaya ilikaa na kujiridhisha kuwa Kagera walikiuka taratibu hizo kwa mujibu wa Kanuni Simba wamepewa point zote tatu za mchezo dhidi yao....ndo hivo mkuu
Asante sana mjomba kwa ufafanuzi huu
 
Msimu wa lawama huu
UCL RESULTS
Borrusia Dortmund 2-3 Monaco
Bayern Munich 1-2 Real Madrid
Atletico Madrid 1-0 Leicester City

d34e0e1a57d7acd2befea6b57e75cd7e.jpg
c6683dec2e798906fdefad32f4e7903a.jpg

c1f96e9f98487a465984345db7492283.jpg
a636886c4320ce31bfeace7f4c82911d.jpg

4f2fc736ba2138b60654342a0fb0ecc5.jpg
43605bec34577377654b9c697baeda86.jpg

Msimu wa lawama huu
UCL RESULTS
Borrusia Dortmund 2-3 Monaco
Bayern Munich 1-2 Real Madrid
Atletico Madrid 1-0 Leicester City

d34e0e1a57d7acd2befea6b57e75cd7e.jpg
c6683dec2e798906fdefad32f4e7903a.jpg

c1f96e9f98487a465984345db7492283.jpg
a636886c4320ce31bfeace7f4c82911d.jpg

4f2fc736ba2138b60654342a0fb0ecc5.jpg
43605bec34577377654b9c697baeda86.jpg
Mkuuu jana nilitingwa ata hatukupitiaa michezo wa kina...anyway tujikumbushee ...

Tuanze na wahun wa Simeon Diego vs The Fox..mtaji wa goli moja nyumbani ni mtaji mdogo sana kwa Atletico Madrid na pia kuwabakisha mchezoni Leicester city..... Namna Leicester wanavyocheza sina shaka ni miongoni mwa timu ngumu iliyokutana na timu nzuri ya Atletico. Aina yao ya mchezo wa ugenini ni dhahiri shahiri wanamatarajio makubwa katika mchezo wa nyumbani King Power stadium.

Bado maamuzi ya waamuzi yamendelea kuwa tatizo katika michezo mingi ulimwenguni...... Aina ya penalt aliyotoa Mwamuzi wa mchezo huu yanakinzana sana na macho yetu sambamba na screen zetu.....

Mpira ni mchezo wa makosa na katika Zama hizi ukikosea kidogo refa anakosea sana...... Greizman anachezewa faulu nje ya box pembeni kidogo ya mstari wa box lakini kwakua mpira ni mchezo wa makosa basi refa anafunika mkono na kinaliwa tuta lilifanya wawakilishi pekee wa lawama ligi kuu ya Uingereza kulala kwa goli moja Bila.

Sasa shughuli inahamia pale king power stadium na hii inaweza kuwa sehemu ngumu sana kuamua mchezo huu...... Best team loss.... Leicester walikuwa wazuri sana katika pressing ila pia Atletico walikuwa bora kumaliza mchezo japo kwa mbindee.....


Huku sasa Sehemu ya kiungo cha Real Madrid ndio sehemu yenye matatizo..... Inafeli kuwaunganisha timu, inafeli kuwaunganisha washambuliaji sambamba na kuwatengenezea nafasi za magoli, hilo limedhihirika baada ya Martinez kutoka kwa adhabu ya kadi nyekundu ila Bado display ilikuwa chini sana kwa viungo mpaka pale Ramos aliposogea juu kwenye kiungo ili Toni Kroos asogee mbele zaidi.....

Makosa ndio sehemu ya mchezo.... Anafanya makosa Javie Martinez na yanaghatimu timu, kadi ya pili haina shaka ila namna alivyoipata kadi ya kwanza haikuwa na ulazima wa kupanda na mpira kama wewe unaujua ni beki wa kati....... Martinez anapanda na mpira juu alafu anapoteza, Madrid wanaunasa wanapigiana one two anamchezea faulu Christian Ronaldo na anaanza kutengeneza usalama mdogo kwa Wajerumani.....

UEFA champions league pekee ndio inatumia marefa watano ila refa wa tano kashindwa kujua kama ile ni penalt au lah. .. dany carvajol hakuwa ameshika mpira na kwa bahati mbaya mpira wa adhabu ndogo penalt iliyopigwa na muhuni wa chile Atur Vidal inapaa juu kabisa ya lango..... Hapa ndipo tunaendelea kuamini Waamuzi hufanana kasoro rangi tu.

Goli la kwanza linatokana na krosi iliyopigwa kutoka upande wa kulia na goli la pili linatokana na mpira uliopigwa kutoka upande wa kushoto na kikichotokea ni sàfu ya ushambuliaji kuonesha kuwa ikipatiwa mipira sahihi inaweza kufanya kitu sahihi........ Baada ya Xavi Alonso kutoka Madrid walikuwa huru sana ila viungo wake hawakuwa na njaa ya matokeo na hivyo kupelekea kuonekana kama wanarelux zaidi kuliko ku re-act.....

Manuel Neuer alifanya kazi ya ziada sana katika kuwabakisha Wajerumani katika mchezo......

Fc Bayern Munich 1-2 Real Madrid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom