Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hongwren wazee wa point za mezani....msijali ht mkishoriki CAF mtakuwa mnapewa tu pointLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
....
Hongwren wazee wa point za mezani....msijali ht mkishoriki CAF mtakuwa mnapewa tu pointLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Nilikua nauguliwa hatujambo sasa,namshukuru MunguUna tatizo gani dadangu
Amen shem wane barikiwaHabarini za asubuhi wana kapuku!!!
Nawamiss sana, Muwe na ijumaa njema!!!
Tudumishe upendo, amani na kusamehe waliotukosea!! Tuanze maisha mapya kiroho tukiwa wasafi zaidi!!!
Morning werrasonGoodmorning family
Such coincidences happens,by God"s Grace
Huwa inatokea sababu ya network broHii notification itakuja kunitoa roho ...![]()
Historia inahusiana na currently issuesLeo Katika Historia:
1865 - Rais Abraham Lincoln wa Marekani anashambuliwa kwa risasi katika ukumbi wa Ford na kufariki siku iliyofuata.
Inasikitisha sana1912 - Meli ya RMS Titanic ya kiingereza yagonga ice berg katika bahari Atlantic ikiwa safarini kuelekea Marekani.
Hello kapukuHello kapukuz
Duniani wawiliwawili!