Aah SakayooooLove
Na Mimi nipo jaman khaa!!!Nimepamis humu yuko wapi mondray wangu jaman
Hahahaaaa Kali hiyo
Ashukuriwe Mungu aliye juu,tunamshukuru kwa uponyaji unaondelea..pole sana na endelea kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu[emoji120]Jana nimeanza mazoezi ya kukimbia ...aise MUNGU mkubwa
Nilikua nauguliwa sasa hatujambo,namshukuru Mungu[emoji120]Mama umepatwa na nn!?
Amen Ijumaa kuu njema kwako pia ubarikiwe[emoji120]Ijumaa njema Makapuku. Maandalizi mema ya sikukuu
Mauaji mpaka lini?hivi kweli wauaji hawajulikani?inaumiza sanasan Mungu aingilie kati jambo hili linaumiza familia na jamii kwa ujumla[emoji120]
Amen Ijumaa kuu njema kwako pia ubarikiwe[emoji120]
KIMENUKA KWELI..HATARI
So bad,lazima hatua za makusudi zifanyikeUdaku ...![]()
Hahahaha mkuu umetisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na Mimi nipo jaman khaa!!!
Amen,niko sawa asante kwa kuniwazia mema,ubarikiwe[emoji120]Amen.
Hoping uko poa sasa, uko mawazoni kwangu
Una tatizo gani dadanguAsante sana,asanteni sana kwa maombi na dua zenu mbarikiwe