Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Na kwako pia
Na kwako pia
NUKUU YA LEO
Someone is sitting in the shade today because someone planted a tree a longtime ago
Kuna mtu amekaa kwenye kivuli leo kwa kuwa kuna mtu alipanda mti siku nyingi
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mwekeaji, mfanyabishara wa kimarekani Warren Buffett aliyezaliwa 30/08/1930 ktk jiji la omaha, Nebraska nchini marekani.
Buffet kwa sasa ni tajiri no. 2 akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia $ 75.6 billion.
![]()
Buffett ni mkurugenzi na mmiliki wa makapuni ya Barkshire Hathaway yenye makao makuu mji wa omaha, Nebraska.
![]()
![]()
Morning motivational.
Buffet anazungumzia maisha ya baadaye, ili uweze kuwa na maisha mazuri lazima uwe na maadalizi sasa hivi..
Panda mti leo ili kesho ufaidi kivuli chake, panda mti ili ufaidi matunda yake..
Transcend.

Aksante Mkuu kwa kutuludisha huko nyuma kwa kuyaona yaliyojili!!Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Na mimi ni kapuku piaMke ya Kapuku mimi!
Sema wakali wenzanguJamani habari za asubuhi wakali wangu wanakapuku!?!!
Hao wote walikubali mkono wa sweta?Duh, kumbe nae ana kijiji cha wanawake!
Goodmorning leeGood morning Baba mchuchu
Morning daddyGoodmorning family
Inspector uko poaa ??Mkuu dr.lee asante kwa magazeti ya siku
Uwe na siku njema
Mkuu ulimuona yule mtoto ??Kwenye fainali ya 2015 nafikiri nitareview
Vipoo mkuuVinapatikana wapi
Thanks Papaa MussoLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Shukrani le dictator Mussolin5Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Nimekuelewa Mkuu mwenyewe mwanakapukuSema wakali wenzangu
Wote ni sawa mkuu
BTW habari ya asubuhi
Na wewe pia kwa updates ya mpiraShukrani le dictator Mussolin5
Bro Bitoz kwa picha
Lee kwa magazeti na UF
Shukrani sana
.....aliehusika na kifo chake naskia alikuwa anataka uwaziri mkuu1984 - Edward Sokoine anafariki Dunia katika Ajali ya gari huko Dumila, Mkoani Morogoro.
Leo ni miaka 33 tokea kifo chake.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Tanzania mara mbili, kipenzi cha Wanyonge na watanzania wengi.
Vita yake dhidi ya Uhujumu Uchumi ilipamba moto kiasi cha kufanya walanguzi kumuogopa vibaya.
Alifariki baada ya gari alilopanda kupata ajali ya kugongwa na gari la Mkimbizi wa Afrika Kusini aliyejulikana kama Dumisane Dube.
Alitajwa kama mtu ambaye angemrithi Nyerere kwenye Urais mwaka mmoja baadae 1985 mara baada ya Nyerere kutangaza kung'atuka.
Ajali yake mpaka leo imebaki kuwa na utata wa hali ya juu.
Chuo Kikuu cha Kilimo na Ufugaji mjini Morogoro, Sokoine University of Agriculture ( SUA ) , kimepewa jina lake kama kumuenzi.
Nimesema nitareviewMkuu ulimuona yule mtoto ??
Nimekuelewa Mkuu mwenyewe mwanakapuku

Zitakujieni soonNa wewe pia kwa updates ya mpira
Chaplin uko poa man?Morning daddy