Waiting mkuuNimesema nitareview
Duh, kumbe nae ana kijiji cha wanawake!
Anataka kumiliki pori zima km Faru JohnHuyu rais anapenda sebene kubwa kubwa kama Bullar![]()
![]()
![]()
![]()
Faru john bajet ya mkoa anakula yeye peke yakeAnataka kumiliki pori zima km Faru John
.....
Baba niko poa sanaChaplin uko poa man?
Uko sahihi mkuu, Afcon ya mwaka 1996 pia walikuwepo akina Dr Khumalo, Mark Fish, Phil Masinga ambapo moto uliendelea mpaka World Cup ya 1998 yeye akiwa ndio nahodha.
MrejeshoWaiting mkuu
ayaBaba niko poa sana
Msalimie mama
Cech akiwa Chelsea fc hajawahi kufungwa na messi ila akiwa arsenal akalambishwa ..marudiano simpi nafasiMrejesho
Messi hajawahi kumfunga Buffon
Ila ana kumbukumbu ya makipa hawa wawili
Peter Cech alisema hajawahi kufungwa na Messi matokeo yake alikuja kufungwa magoli mawili kwa miguu yote kati ya matatu akiwa na Arsenal
Manuel Neuer naye alisema vivyo hivyo akaja kufungwa long range goal
Sijui kwa mkongwe Buffon mechi ya marudiano
Akusikie SHIMBA YA BUYENZEKm Bashite
😎 😎 😎
...
Camp Nou ndio tegemeo laoCech akiwa Chelsea fc hajawahi kufungwa na messi ila akiwa arsenal akalambishwa ..marudiano simpi nafasi
Hawawezii kufua dafu make ile rekodi yao ya juzi wanaiogopa na kila mtu anaiogopaaCamp Nou ndio tegemeo lao
Ila Juve hana cha kuogopa anakwenda kulipa kisasi cha FainaliHawawezii kufua dafu make ile rekodi yao ya juzi wanaiogopa na kila mtu anaiogopaa
Point mkuuIla Juve hana cha kuogopa anakwenda kulipa kisasi cha Fainali
Ametuomba tukae kimya itawezekanaje ikiwa matukio yanazidi kushamiriLeo nimekutana na Faiza Foxy amefunguka vizr sana juu ya "ugaidi kufanikiwa Tanzania " zaidi hapa Ugaidi Tanzania Unafanikiwa
Hivi yule refa alipata adhabu aliyechezesha game ya Barcelona vs PSGPoint mkuu