Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hatochezesha tena uefa maisha yake yoteeHivi yule refa alipata adhabu aliyechezesha game ya Barcelona vs PSG
Hatochezesha tena uefa maisha yake yoteeHivi yule refa alipata adhabu aliyechezesha game ya Barcelona vs PSG
Hapo ndipo ninapowapenda UEFA wako smartHatochezesha tena uefa maisha yake yotee
Hatochezesha tena uefa maisha yake yotee
German mkuuNikumbusheni kidogo wakuu, alikuwa wa Nchi gani?
Messi anyoe tu ndevu awe kama iniesta
Karibu mkuumakapuku
nimekumiss mpk nakufwaaa nyongo mkalia ini wanguGerman mkuu
Naam FORTALEZAmakapuku
Sawasawa mkuu
Bila kumsahau Quinton Fortune na kipa tolu kimbaumbau mzungu sijui aliitwa Vonk![]()
Hii ndo timu ya mwisho ambayo wazungu walikuwa tegemeo na kupata namba kikosi cha kwanza
Siku hizi full weusi, wazungu wapo kwenye rugby tu
.....
Mi natangaza nakufa na zidane... Hao wa hitira buyermunic tunawakabili hivo hivo na BBC yetu!!!Ratiba ya mechi za leo
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
![]()
Kutakuwa na bandika bandua leo
Game ya mapema ni Dortmund vs Monaco
Kisha Madrids watafuata
Je The Fox atamuweza Atletico?
Huku Bayern akimkaribisha Real Madrid katika uwanja mgumu kwa Real.
![]()
Juve nimewapenda bule!!!Ila Juve hana cha kuogopa anakwenda kulipa kisasi cha Fainali
Jambo mkuuJambo wakuu
Madrid hana rekodi nzuri akiwa ardhi ya ujerumaniMi natangaza nakufa na zidane... Hao wa hitira buyermunic tunawakabili hivo hivo na BBC yetu!!!
Jambo leo nataka niweke Je wajua mapemaa kua cameramanJambo mkuu
Wanastahili PongeziJuve nimewapenda bule!!!
Hapo mwenyewe sijakubaliana nae... Afadhari watuue wote ila siwezi kukaa kimya kwa mambo yanayodhungumzikaAmetuomba tukae kimya itawezekanaje ikiwa matukio yanazidi kushamiri