Makapuku Forum

Makapuku Forum

UEFA CHAMPIONS LEAGUE
JUVENTUS 3-1 BARCELONA
32b889b6fef99146e708489d5c41b892.jpg

Shujaa wa mchezo Paulo Dybala
210a64f3079ba6a0135ed37dcb1f69bc.jpg

Refarii kutoka Poland Szymon Marciniak ana rekodi nzuri na Juve, mpaka sasa ameshachezesha mechi tano za UEFA pamoja na ya leo. Mechi mbili ni Lyon vs Juventus na Juventus Vs Barcelona ambapo zote Juventus ameshinda.

Tuutazame mchezo wenyewe Juventus waliingia uwanjani sio kupata matokeo tu bali pia kumzuia Barcelona asipate goli kitu ambacho walifanikiwa, counter attack zilifanikiwa maana huwezi kuchezea mpira sawa na Barcelona.
Gerrard Pique na Mascherano waliigharimu Barcelona katika ulinzi hasa goli la pili na la tatu. MSN imeendelea kuwa butu wakiwa wamepiga mipira iliyolenga goli mara mbili.
d2147dadc12cd12bbf72bf3d4b8178ab.jpg

3e8d4c5f7727672cf209de3443c0ee3a.jpg
Mwekahazina umejionea mwenyewe matokeo ukwaju kabisaaaaaaaaaaa

Mukongo aka Baba mchungaji ulichokisema kimetokea japo mm nilikuwa sijui kama kitakua kiama kama ilivotokeaa ....

Ila mkuu ndo maana kipindi tunaipitia mapema ilinichukua mda kudadavua kibibi hiki ....anyway kwanza pole kwa Dortmund ila na Leo Siku ila Juve wewe

Twende sawa kidogo mkuu ..... Juventus 3-0 Barcelona.

Moja ya vitu vilivyowafanya Juventus kutoka na clean sheet ni nidhamu yao ya kufanya making katika eneo lao, team work pia.... Wanapopoteza mpira wanafanya pressing za haraka kuziba mianya katika eneo lao, na ndio maana mara nyingi Barcelona walikuwa hawajui wafanyaje wanapofiki nje ya box la Juventus sababu wanakuta teyari pameshajaa.....

W-formation (3:4:3) inafeli ugenini..... Huu mfumo kuna wakati unakupa unachotaka kama patterns zitafanya kazi kisawa sawa na kama utakutana na timu itakayo shindwa ku unloack mipango yako.... Pamoja na kuwa na utatu wa MSN Bado katika mchezo wa Leo fc Barcelona walihitaji kutumia mipira ya kupiga nje ya box..... Ndio maana mipira michache iliyopigwa na Barcelona nje ya box la Juventus ilikuwa na madhara kuliko mipira iliyoingia ndani ya box kama penetration pass.

Miracle appear at one.... Wenye mizimu yao ndivyo husema angalia mchezo uliopita alipita kwa jumla ya goli 6-5.... Hii inaonyesha ubora wa fc Barcelona ulivyo chini katika michezo ya ugenini ila pia Barcelona udhaifu wao mkubwa unaanzia katika eneo la kiungo mpaka kwa back line yao... Na ndio maana wanaruhusu goli nyingi zaidi japo nao wanafunga pia.

Paul dybala alikuwa anacheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho Gonzalo Higuan na mbele ya viungo wawili Pjanic na Khedira akiwa katikati ya Mario mandzukic na Juan Cuadrado.... Huyu dybala ndiye mchezaji aliyekuwa free uwanja kwa upande wa Juventus.... Aina ya mguu anaotumia, aina ya uchezaji wake, namna alivyofunga magoli yake hakuna cha kushangaa..... Eneo alilokuwepo namna alivyopokea mpira alivyo turn na angle aliyompeleka Ter Stegen ni kazi ya mguu wa kushoto tu kwa goli la kwanza....

Goli la pili la dybala sijui Pique alikuwa anawaza nini maana mpira mpira ulipopitishwa na eneo alilokuwepo unaendelea kumpa credit mpigaji..... Hii miguu hata ile timu yetu inaikosa 100%.

Kwangu man of the match ni Georgia Chiellin..... Making nzuri kama mtu wa mwisho, bloking na interception ndani ya box lake ni ushujaa wa kiwango cha juu....

Barcelona wanapoteza mchezo wa pili mfululizo ndani ya siku 4.... Timu ina uchovu sana na hii inatokana na ufinyu wa kikosi.

Tusubiri kiwanja cha miracle labda kuna chochote kitu.....ila

mwenye kujua au kuwa na kumbukumbu atukumbushe ....Hivi Messi mara ya mwisho kumfunga huyu bwana lini ???
09fbe5d485bbcd8b04f6a5188ef42c88.jpg
 
Germany's Borussia Dortmund football team bus hit by explosions

www.bbc.com

Apr 11, 2017 9:41 PM

0a5187c09efcf92fab11e9a0f87caf77.jpg


Borussia Dortmund defender and Spain international Marc Bartra was injured, media reported

Three explosions have hit a bus carrying the Borussia Dortmund football team to a home Champions League match.

Player Marc Bartra was injured and has been taken to hospital but is not seriously hurt, reports say.

The team tweeted (in German) that the other players were safe and there was no danger in or around the stadium.

The game has been postponed until Wednesday. The AFP news agency reported that the bus's windows were broken in the blasts.

North-Rhine Westphalia police said they were at the scene.

e929d4de0d2fddf4729d4709cf4213b4.jpg


A message at Dortmund's Signal Iduna Park tells fans about the bus explosion

Borussia Dortmund were scheduled to play a quarter-final match against Monaco.

It will now be played on Wednesday at 18:45 local time (16:45 GMT).

Dortmund are currently fourth in the German Bundesliga table.
Asante kwa taarifa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom