Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nyinyi T na Leee nimekuja JF kuchat sijaja kubeba waume za watu kwenye miugomvi yenu huko msinishirikishe kama hamjui utani hana haja ya Ku quote kitu alicho post MTU km unahisi kimekukeraa llooooo wanaume ninao mpk wengine nimewasahauuu poleni mnaobabaika fyuuuuuuu
Karibu mrembo Jovitha

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mkuu hebu ona text zako za hapo chini, hapa unasema ulikuwa unashangaa ila huko chini unasema mimi nachepuka..

Mbona huna common standings..?

Hueleweiki mkuu...mara ooh nashangaa..mara T anachepuka..! Be a man and speak out the truth..

Nimechepuka wapi? Leta vidhibiti hapa

Umeona nini?

Tell us...!
Mkuu ntakuteka na sitokuruhusu ata kupiga selfie
 
Back
Top Bottom