Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Duuuh kukuzana kote kunikaribisha leo unajifanya hujamwona mgeni au nitakuwa nimekosea njia ya kuingilia nirudi nikajianze upya?Sio Sitaki wewe ulisema utakuja mwenyewe kwa miguu yako naona safari yako ilikuwa ya kuunga unga ndio maana umefika leo.
BTW karibu sana Mndali
Huku ndio home sweet home
