Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Basi Naomba Yaishe shemejiNamshanga mr T ananilalamikia wakati mchezo ameona mwanzo mwisho
Mimi kushangaa imekuwa kisaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Basi Naomba Yaishe shemejiNamshanga mr T ananilalamikia wakati mchezo ameona mwanzo mwisho
Mimi kushangaa imekuwa kisaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante honeyBaaaasi!
Nimeacha mama
karibu mndaliLeo nimekuja kwa pande yenu tukaribishane
hahahhaha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi umenichagua wewe niwe mlinzi ???
Uchochezi unaujuaKabisaa
Uachane na kukaa kapuku muda wote tembea nyuma yake
Pouwa...! Namsubiria..Akikujibu niite baby
Uchochezi unaujua
Shenie muite lee hapa...Uchochezi unaujua
Hivi kumbe Shunie ni dadako eh?Pouwa...! Namsubiria..
Ila wewe na shunie mtanisamehe leo...! Naweza nikawaudhi kidogo..
Mtaniwia radhi..
Utazoa Wallahi..Shenie muite lee hapa...
Afu nikuombe msamaha mapema kabisaa...!
Nataka nichafue humu kidogo..
Mkuu Nyagei asnte kwa michezo

Mahmoud kakamatia fursaDuuuh!
mm hasira zangu nazijua yakizidi nitatoka tutaonana keshoPouwa...! Namsubiria..
Ila wewe na shunie mtanisamehe leo...! Naweza nikawaudhi kidogo..
Mtaniwia radhi..
micn u too Rogie mzima lknI am really missing you.
tutaonana keshoShenie muite lee hapa...
Afu nikuombe msamaha mapema kabisaa...!
Nataka nichafue humu kidogo..
sio dada ake mmHivi kumbe Shunie ni dadako eh?
Wala usindoke !tutaonana kesho