Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Wanao kula ban uzembe wao wenyewe usi quote tena Hii unanicheleweshaSasa mbona kule mnakula ban kila siku...
Huku hakuna hiyo mambo..!
Huku tunaspread love 24 hrs..

Wanao kula ban uzembe wao wenyewe usi quote tena Hii unanicheleweshaSasa mbona kule mnakula ban kila siku...
Huku hakuna hiyo mambo..!
Huku tunaspread love 24 hrs..

Nami ndio maana nimekubali kazi chap chap japo haina uapishwajiNdo maana Nakupenda
Hehehe ulitekwa lakini simu walikuachia?Nilitekwa mwenzio
Jovitha ni shiiidah..Kwani ni dondola boss
Usitufanyie hivo make tumekupenda bureeUnajua ninavyosema sitaki ninamaanisha![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba niwe mwenyeji wako humuAkaaaa naludi zang MMU bora Kule Mara 1000
Unataka watu walog off..Ahaaaaaaaaaah
Mmeo haniwezi shem nikilianzisha anaujua mziki wake kucheza atacheza bila kukunja gotii
Hujakosea upo ndani ya mjengo sahihi bwana kakaDuuuh kukuzana kote kunikaribisha leo unajifanya hujamwona mgeni au nitakuwa nimekosea njia ya kuingilia nirudi nikajianze upya?
Hapana sir mejaaa mkorofiiiiiLee,
Hahaaaa! Ulileft ukarudi nini?
nileft kwa lipiiii mkuu Ndio Katibumkuu unaamini hivooo??
Endelea kucheka uongeze Siku zakuishiHahaaa!
Umeona jovitha alivyofunguka...!
Walahi nimecheka hadi basii...!

Akibahatka kurudi atakusimuliaa kitakachompata wee jenga ukaribu na mlinziUkimteka uniambie unapompeleka tuu inatosha
Namuona hapa kafika kwa paroko mdogoNyagei hakikisha jovitha anabaki kuwa member wa humu...
She is so calmed!
sawa uzembe wetuWanao kula ban uzembe wao wenyewe usi quote tena Hii unanichelewesha![]()
![]()
![]()
Sir ntamulaumuuu kinomaa make tulikuwa tushapishwa uwanjaaaMkuu,
Tuache utani sasa! Naona watu wanakimbia...
Stop it![]()
Huwezi kuelewa sababu umedandia treni kwa mbeleSijaelewa naomba unieleweshe