Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namshanga mr T ananilalamikia wakati mchezo ameona mwanzo mwisho

Mimi kushangaa imekuwa kisaa

Mkuu hebu ona text zako za hapo chini, hapa unasema ulikuwa unashangaa ila huko chini unasema mimi nachepuka..

Mbona huna common standings..?

Hueleweiki mkuu...mara ooh nashangaa..mara T anachepuka..! Be a man and speak out the truth..
Wee muache atajutaa kuchepukaa
Nimechepuka wapi? Leta vidhibiti hapa
Ebu kuwa siliasi shemu kwa hiyo nione kitu nisiseme ???
Umeona nini?

Tell us...!
 
Mkuu hebu ona text zako za hapo chini, hapa unasema ulikuwa unashangaa ila huko chini unasema mimi nachepuka..

Mbona huna common standings..?

Hueleweiki mkuu...mara ooh nashangaa..mara T anachepuka..! Be a man and speak out the truth..

Nimechepuka wapi? Leta vidhibiti hapa

Umeona nini?

Tell us...!
Akikujibu niite baby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom