Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Okey pouwa..huwezi kuelewa [emoji23]
Okey pouwa..huwezi kuelewa [emoji23]
Ila wewe mtoto mzuri...!Hahaha
Wasifumbe bhana, washuhudie venye twapendana
mzee wa chura [emoji23][emoji23]Kwema hapa?
We jibu hovyo utatembelea shingoKwa upande wa majini siokopi kabisa maana home tunapiga nao story
Namshangaa anayejipendekezaww ata kama sikutaki baby ndio kashakuweka
Kwann shemu[emoji23] [emoji23]aiseee kazi ipo
Kwema bullar uko fureshiKwema hapa?
hapana shemela nakutakia kazi njema tuKwann shemu[emoji23] [emoji23]
Na ndio inatakiwa iwe hivyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naimani huko nyuma yangu na nitafanikiwa
Unajua nataka siku moja na mimi nijidai nitafute na mabord guard kabisa
Shemu usijali kazi nitaifanya hasa ata kukutetea pale unapoonewa wala huwezi pata shidahhapana shemela nakutakia kazi njema tu
Sisemwi nimekujaHahahah!
Nyagei hayupo lakini mkuu
Khanga ndo mpango baby, naanzaje kuvaa madera wakati upo Karibu nami jamani hunieIla wewe mtoto mzuri...!
Daaah! Afu hizi za kushindia khanga utakuja kuniua sasa
professional body guard [emoji23][emoji23] we mtu ni sheedaShemu usijali kazi nitaifanya hasa ata kukutetea pale unapoonewa wala huwezi pata shidah
"Am a professional body guad"
Mzee mwenzako wa vyura kaja kukusabahiSisemwi nimekuja
BabyMzee mwenzako wa vyura kaja kukusabahi
Afu si unajua nilimwagiza mondray misuli alipoenda zenji...Khanga ndo mpango baby, naanzaje kuvaa madera wakati upo Karibu nami jamani hunie