Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Amuulize Jay z kilichomkutaHahaha
Wanasemaga kikulacho........
Na umdhaniae ndie........
Amuulize Jay z kilichomkutaHahaha
Wanasemaga kikulacho........
Na umdhaniae ndie........
Wivu unakusumbua ww shunie mwenyew kasema kabisaMpe kichwa tu.
Hua huonagi muvi za kihindi?
Hiyo ilikuwa enzi za baba RizUfanisi kazini
Shunie Ananipenda + Ninampenda =Tunapendana hukooo p.....Wivu unakusumbua ww shunie mwenyew kasema kabisa
Na mimi nafatilia zakoNgoja namm nianze kufuatilia comments zako
Haya ngoja tuunde team sasaNa mimi nafatilia zako
Hapo ndo utajua kuwa ulinzi wangu unazama deep zaiidSio mpaka pm, kwa nini uchambue comments za mke wa mwenzako
We muacheAmuulize Jay z kilichomkuta
Shunie Ananipenda + Ninampenda =Tunapendana hukooo p.....
we majini yanakunyemelea weweSakayoooooooooNampa tahadhari tuu
Mapenzi yakizama deep uwa hivyo apo hakuna cha ajabuWe muache
Unaanzaje kumwambia mwanaume mwenzio akuchungie mke
Kwa upande wa majini siokopi kabisa maana home tunapiga nao story![]()
![]()
![]()
we majini yanakunyemelea wewe
Mie nakuzimia kabisaa sweetSakayooooooooo
Nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
HahahaMapenzi yakizama deep uwa hivyo apo hakuna cha ajabu
Cha muhimu nikuwa wanapendana na mimi wanavyopendana napenda.
Wanaume wa DarisalamaaWe muache
Unaanzaje kumwambia mwanaume mwenzio akuchungie mke
mpo jukwaani mjue sio pmAaaaaya!
Kuna neno nilikuwa niandika hapa ila watoto hawajalala..
HahahaaaWanaume wa Darisalamaa