Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baby wangu S...

The woman of my dream..

Muke ya watoto vangu...

Nakutakia usiku mwema mama! Mungu akulinde na ila zote mbaya.

Uamke salama asubuhi..

Gnt babes...! Kisses [emoji131]
Asante mume wa ndoto zangu jamani!!!!!

Nawe pia ulale salama mume wangu, damu ya Yesu na ikufunike!!!

Nakupenda sana T wangu!!!!
 
Back
Top Bottom