Nafikir nimemaliza kila kitu
Pasipo kufumba macho wala kumuogopa mtu nasema shunie na transcend jana wala hawakuwa mametoka mahali ila ni wivu wa mke wa transcend(shemela)
Pale alipouliza kuwa "mmetoka wapi mbona mmekuja pamoja"
Transcend nae kujikoki kwa mtoto mkali akasema "tumetoka kuleee..kuleee
Hapo mi nikaona kuna tatizo nikaanza kufatilia kila post nikagundua shunie na transcend hakuna mahali wametoka
Uchunguzi wangu ukazama zaiid kwa dr.lee wala hakuonekana na wac wac kwa hilo wala kutikisika iyo inaonyesha alivyo mkakamavu sana katika mapenzi ndio maana iyo kazi akaniachia mimi
Huu ni uchunguzi namba 1...bado 2....na3