Wanaponda makapuku?Kuna jukwaa moja raia wanatuponda kwamba hatueleweki
Sijui wanataka watuelewe ili wafanyaje
Wacha weeeeeeShikamoo braza Mondie.. na mimi nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe!!..
Niaje broWanaponda makapuku?
Mkuu hii mbona kawaida tu humu vichwa vimejaa usivichukulie poa...mi mwenyewe kuna mmoja nilimchukulia poa sasa siku tumekutana LIVE duh nikakuta ni mtu msomi(masters) ana maisha yake matawi ya juu yaani lakini sio mtu wa Maringo wala kujionyesha akiwa hapa KF100% true. Kuna kapuku namjua ana Ph D tena ya chuo kimoja mashuhuri sana huko majuu na kiakademia ni mzuri sana. Lakini naye yupo hapa tunacheka naye na kuondoa stress. Jukwaa la siasa kule ukikaa nusu saa tu unaona presha inaanza kupanda. MMU nako vijana wa facebook wako na xhughuli xana. Inabidi tu kuja hapa kucheka na kupumzika na kwa sisi ambao hatunywi hata pombe hiki kimegeuka ndo kijiwe chetu.
Kwema kabisa mkuuPouwa
Kwema?
NdioWanaponda makapuku?
Hata wewe upo kwenye mkeshaNaona bado mnaendeleza mkesha..
Ndio mkuuHata wewe upo kwenye mkesha
SaluteMkuu mi mbona kawaida tu humu vichwa vimejaa usivichukulie pia...mi mwenyewe kuna mmoja nilimchukulia poa sasa siku tumekutana LIVE duh nikakuta ni mtu msomi(masters) ana maisha yake matawi ya juu lakini sio mtu wa Maringo wala kujionyesha akiwa hapa KF
Tukazoeana na kunitonya " yule kapuku fulani ana mkwanja mrefu km treni ila hajioneshi km nanihii"
Nikacheka, tukapiga kilaji
Tangu siku ile ht nimuone mtu humu anapost kijingajinga simchukulii poa najua ni swaga tu
...............
Jukwaa la malalamiko na ushauriWapi huko?
Nipeleke huko mkuu?
KaribuNdio mkuu
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1069224/Wapi huko?
Nipeleke huko mkuu?
Mi ht SHIMBA YA BUYENZE napenda kuichezea sharubu na mkia makusudi tu maana napenda kumuona anakuja na fact rundo "kunizima" zen namkimbia kijanjaSalute