Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
mkewe alienda kila kituo na wakafanya mkutano na waandishi wa habari, mbona police hawakujitokeza kusema wanaye?Waache ujinga wajate mzizi wa fitina kwa kusema alikuwa wapi na kafikaje Polisi ili tujue lipi la kushika
....
Huwezi kuwadanganya watu siku zote

