Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Umeona ile video Hamorapa anakimbia hadi anatoka outer space..?We kimbia tu, ujue mie nakimbia zaidi ya hamo rapa



Umeona ile video Hamorapa anakimbia hadi anatoka outer space..?We kimbia tu, ujue mie nakimbia zaidi ya hamo rapa



TobaaaMbona unakuwa mkali shem..
Au kisa lee yupo online..
Duuh!hatarudia tenaMpuuzi wewe na ukoo wako wote
100% true. Kuna kapuku namjua ana Ph D tena ya chuo kimoja mashuhuri sana huko majuu na kiakademia ni mzuri sana. Lakini naye yupo hapa tunacheka naye na kuondoa stress. Jukwaa la siasa kule ukikaa nusu saa tu unaona presha inaanza kupanda. MMU nako vijana wa facebook wako na xhughuli xana. Inabidi tu kuja hapa kucheka na kupumzika na kwa sisi ambao hatunywi hata pombe hiki kimegeuka ndo kijiwe chetu.Kuna makapuku wanachukua masters uk, lakini kuna kapuku mfanyabiashara mkubwa sana dar nk. Hiki ni kijiwe cha kuondoa stress
Ahaaaaaaah shunie ngoja aendeeKesho kasema lazima almasi iwe majii
Kwamba?Bado nawaza shemela na transcend wametoka wapi ??
I think kesho takuwa nimemaliza my investigation bcoz now kuna taarifa za kusadikika
Sipajui ila naomba usiendemo dearHahahaaa!
No,
Pakoje lakini huko.? Niambie ili nisiende kule
Akikujibu niitesio sbbu lee yupo online mm na ww tulikua wapi eb sema ukweli
Mungeliniachiaa huyihawezi rudi si kwa majibu aliyokutana nayo kajifanya chizi kakutana na machizi zaidi yake
Ngastukaasijatoka nae sehem kwakweli ongeeni tu vzr akwambie alipokua
Inapendeza sanasanaHahahaaa!
Mama mchungaji nimetulia kwa sakayo sasa hivi..
Shunie shahidi..![]()
Tuliaashedede we sema unafanya uchunguzi mm na ww tunashinda humu kapuku sijui hiyo sa 4 unatoa ripoti ipi
Kwa hiyo huyo ndo wewe, acha mzinguo basiAfu mondray yuko wapi?
Nimeweka hiyo ili avatar ili apunguze kelele...
Nikiitoa ndio basi tena
Shedede vipiiiiii..don't dropAnd i believe i can drop
![]()
![]()
![]()
![]()
My boss has very angryThen drop body guard
Namuamini saanaumwamini
Siendi dear..Sipajui ila naomba usiendemo dear
HahahaShemela unauhakika mimi nimeshinda kapuku all day long
Kesho shuhudia ripoti