Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hamna tatizo. Basi huu uzi ni wa wapuuzi watupu.
74858d2ee108da4ade7e25eef49b15d8.jpg
 
Soon akishajua ndio janja yako atakuwa anatoa fact fupi fupi
Hiyo mutu bora tu hizo fact fupifupi maana inapoteza bure nguvu zake si unaona Hapo juu kachokozwa kaandika fact ndefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nshakujulia. Safari nyingine huchomoki! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitabuni style nyingine ya kukuzingua
......
 
Hiyo mutu bora tu hizo fact fupifupi maana inapoteza bure nguvu zake si unaona Hapo juu kachokozwa kaandika fact ndefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nitabuni style nyingine ya kukuzingua
......
Haya. Nitakuwa tayari. Lakini pia katika kuandika facts ndefu ndefu hizi pengine mwandikaji ndiye anafaidika zaidi kuliko mwandikiwa, hasa kama akiandikacho hakikinzwi na kuwa abandoned. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom