Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mume wangu T usiku mwema mpenzi
Nimefurahi mnooo kuwa nawe mpaka mida hii....
Ulale unono ubavu wangu, Nakupenda mnoo sweet wangu!!

Wana familia Mungu akijaalia kesho tutakutana tena!! Muwe na usiku mwema wote!!!

T Mwaaah
Mke wangu s usiku mwema mpenzi..

Nimekuwa na weekend njema sana cz uko pembeni toka asubuhi..

Nakupenda maana unanipa furaha na faraja..

I promise to love you forever...

Usiku mwema Mke wangu..!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom