Makapuku Forum

Makapuku Forum

100% true. Kuna kapuku namjua ana Ph D tena ya chuo kimoja mashuhuri sana huko majuu na kiakademia ni mzuri sana. Lakini naye yupo hapa tunacheka naye na kuondoa stress. Jukwaa la siasa kule ukikaa nusu saa tu unaona presha inaanza kupanda. MMU nako vijana wa facebook wako na xhughuli xana. Inabidi tu kuja hapa kucheka na kupumzika na kwa sisi ambao hatunywi hata pombe hiki kimegeuka ndo kijiwe chetu.
Yaaani umenena mkuuu
 
Mkuu,


Hivi shemeji yetu ni nani?
Shedede naye kakupatia shemeji hapa hapa Makapuku? Kama ni hivyo hongera zake. Juzi juzi tu hapa nilikuwa nahenya naye wakati tuko gizani hatujazijua couple za hapa Makapuku. Tukigusa huku vitisho balaa mpaka jamaa mmoja akatutishia kututoa uhai kisa Shunie. Kha!
 
Kila siku huwa naongea ukweli. Sema tu huko nyuma Shunie alikuwa ananichanganya na kuwinguisha fikra zangu (cloud my mind). Tangu niponyoke huko naona nimekaa sawa mpaka mwenyewe najishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru ni hekima!
Koma na ukomae mbona shunie unamgeuza kama bashite kutajwatajwa kila sehemu
 
Back
Top Bottom