Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
BroohKoma na ukomae mbona shunie unamgeuza kama bashite kutajwatajwa kila sehemu
Vipi..yaani mmu shunie! Chit chat shunie, makapuku shunie..


BroohKoma na ukomae mbona shunie unamgeuza kama bashite kutajwatajwa kila sehemu


halaf sijui kampa nn lee ujue sio rahisi kumwamini mtu hiviHahaha
We una hamu na kikojoleo cha uso, unajua Shunie ni mtu wa wapi
tuachie ujinga bwege wewe sasa ulikuja kufanya nini huku kama na wewe si mpuuzi??
go to hell
Who is your bossMy boss has very angry
Mkuu acha kumsema my baby swtyShedede naye kakupatia shemeji hapa hapa Makapuku? Kama ni hivyo hongera zake. Juzi juzi tu hapa nilikuwa nahenya naye wakati tuko gizani hatujazijua couple za hapa Makapuku. Tukigusa huku vitisho balaa mpaka jamaa mmoja akatutishia kututoa uhai kisa Shunie. Kha!
Panafariji sana mahali hapa100% true. Kuna kapuku namjua ana Ph D tena ya chuo kimoja mashuhuri sana huko majuu na kiakademia ni mzuri sana. Lakini naye yupo hapa tunacheka naye na kuondoa stress. Jukwaa la siasa kule ukikaa nusu saa tu unaona presha inaanza kupanda. MMU nako vijana wa facebook wako na xhughuli xana. Inabidi tu kuja hapa kucheka na kupumzika na kwa sisi ambao hatunywi hata pombe hiki kimegeuka ndo kijiwe chetu.
NakupendaSiendi dear..
hahahhh ujue ww kweli msukuma hivi kwa nn wasukuma mpo hiviShedede naye kakupatia shemeji hapa hapa Makapuku? Kama ni hivyo hongera zake. Juzi juzi tu hapa nilikuwa nahenya naye wakati tuko gizani hatujazijua couple za hapa Makapuku. Tukigusa huku vitisho balaa mpaka jamaa mmoja akatutishia kututoa uhai kisa Shunie. Kha!

nasubilia gazeti
khaaatuachie ujinga bwege wewe sasa ulikuja kufanya nini huku kama na wewe si mpuuzi??
go to hell
Ukikutana na Bashite achana naye usimjibuMajamaa mengine hasara mtu anaeleweshwa anajifanya nunda bahati yake nimechelewaa
Na maombi pia ni ulinzi toshaaHakika mke ni mlinzi wa mume so unafanya vyema kabisa
HahahaMajamaa mengine hasara mtu anaeleweshwa anajifanya nunda bahati yake nimechelewaa
bora uongee weweKoma na ukomae mbona shunie unamgeuza kama bashite kutajwatajwa kila sehemu
tehNamshangaa
hahahhhAhahaha body guard niko fully security
Kwanza iyo kazi nimepewa na mme wake
So mimi natekeleza tu
Kizur zaiid ata mshahara sitaki![]()
![]()
halaf sijui kampa nn lee ujue sio rahisi kumwamini mtu hivi
nimempa nini akati ye ndo kanipa kaziI love you mama...Nakupenda
weka picha tuhakikiMimi yankii wewe...! Hata 30 sina..

Huyo mwanao anitishaHarmorapa jiandae sasa wamesharudi sasa
hata ww hauniaminiSiwaelewiiii