Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mbona unakuwa mkali shem..usinipe kesi wapi tumetoka
Au kisa lee yupo online..
Mbona unakuwa mkali shem..usinipe kesi wapi tumetoka
shedede we sema unafanya uchunguzi mm na ww tunashinda humu kapuku sijui hiyo sa 4 unatoa ripoti ipiNipo hapa mkuu siendi mahali
Kuhusu ulinzi bado nafanya investigation
Kesho saa nne takupa lipoti kamili mkuu
Kasema mmetoka kuleeMmh mm nitatoka nae wapi
Amen dear ...karibuAsante mama mchuchu kwa kutukumbushaubarikiwe
Hahahaaa!Na wewe upo kwa wakubwa???!!
wapi kaka me ndio nimeingiaHuko mtokako
MmhHahahaaa!
Mama mchungaji nimetulia kwa sakayo sasa hivi..
Shunie shahidi..![]()
HahahaHahahahaha Sakayo umenishindaaaaa khaaa una machoooo.T anapaswa kujipanga![]()
sio sbbu lee yupo online mm na ww tulikua wapi eb sema ukweliMbona unakuwa mkali shem..
Au kisa lee yupo online..
Nitapata jibu kesho mtu niliyemuagiza tutakua nae ibadani kesho so tuliombee hili leo na kesho liwe na jibu zuriAsante, naomba majibu ya utafiti ule dadangu...nijibu kuleee
Heeeusinipe kesi wapi tumetoka
sijatoka nae sehem kwakweli ongeeni tu vzr akwambie alipokuaKasema mmetoka kulee
Sa sijui wapi
Afu mondray yuko wapi?Mr
Naomba lile tabasamu lako bhana
umwaminiHahaha
Mama Mchungaji nimeona wametinga wote hapa eti
Shemela unauhakika mimi nimeshinda kapuku all day longshedede we sema unafanya uchunguzi mm na ww tunashinda humu kapuku sijui hiyo sa 4 unatoa ripoti ipi
HahahaMpuuzi wewe na ukoo wako wote
Mkuu,Nipo hapa mkuu siendi mahali
Kuhusu ulinzi bado nafanya investigation
Kesho saa nne takupa lipoti kamili mkuu
Asante MtumishiKaribu T Mungu awabariki jamani sina fedha wala dhahabu,najaribu kutoa nilichonacho kama ninyi mnavyojitoa kutuelimisha meeengi.
tushirikisheni na sisi jamaan wana kondoo mama mchuchuNitapata jibu kesho mtu niliyemuagiza tutakua nae ibadani kesho so tuliombee hili leo na kesho liwe na jibu zuri
AsanteeeYaaa..you belong to each other I appreciate you...