Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Atoke wapi, police walisema hawanae leo wamemuokota wapiHahaaa!
Roma anaweza akawa ameshatoka sasa..
Atoke wapi, police walisema hawanae leo wamemuokota wapiHahaaa!
Roma anaweza akawa ameshatoka sasa..
Kuna Kapuku ni bibi analea wajukuu tu nyumbani.we are a wonderful family with all background na respect ..nafurahia tunavyoheshimiana as if tunajuana miaka mia iliyopita..namshukuru sana Mungu kwa ajili yenu woteeeKuna kapuku ni mkulima maarufu
MmhShemela unauhakika mimi nimeshinda kapuku all day long
Kesho shuhudia ripoti
We huendiHahahaa!
Wasalimie aisee
Bado nafanya investigation [emoji125] [emoji125]Mkuu,
Hivi shemeji yetu ni nani?
Kwenda hukoNipo hapa mkuu siendi mahali
Kuhusu ulinzi bado nafanya investigation
Kesho saa nne takupa lipoti kamili mkuu
huyo ndio ww [emoji23] mbona umetuwekea hiyoAfu mondray yuko wapi?
Nimeweka hiyo ili avatar ili apunguze kelele...
Nikiitoa ndio basi tena
Leo hakuna jipya ??Nipo hapa mkuu siendi mahali
Kuhusu ulinzi bado nafanya investigation
Kesho saa nne takupa lipoti kamili mkuu
HahahaHuko mtokako
Aiseee [emoji23][emoji23]Bado nafanya investigation [emoji125] [emoji125]
Kila siku huwa naongea ukweli. Sema tu huko nyuma Shunie alikuwa ananichanganya na kuwinguisha fikra zangu (cloud my mind). Tangu niponyoke huko naona nimekaa sawa mpaka mwenyewe najishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru ni hekima!Shimbaaa!
Unaongea ukweli mtupu..!
Leo umekula nini mkuu?
Akwendwee hukohawezi rudi si kwa majibu aliyokutana nayo kajifanya chizi kakutana na machizi zaidi yake
Hapanda kwa Askofu mimi No..!We huendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..eti huko Mbeya kuna mtoto kazaliwa kapewa jina Mwakatekwa Mwaroma..nimecheka mnoo,kama wakati ule wakati wa kupatwa kwa jua watoto waliitwa Mwakajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Roma
We kimbia tu, ujue mie nakimbia zaidi ya hamo rapaHahahaaa!
Mama mchungaji nimetulia kwa sakayo sasa hivi..
Shunie shahidi..[emoji125]
Karibu dearMama mchungaji
I'm humbled
Then drop body guardAnd i believe i can drop
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bado nawaza shemela na transcend wametoka wapi ??Leo hakuna jipya ??
Hahahaaa!Kila siku huwa naongea ukweli. Sema tu huko nyuma Shunie alikuwa ananichanganya na kuwinguisha fikra zangu (cloud my mind). Tangu niponyoke huko naona nimekaa sawa mpaka mwenyewe najishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru ni hekima!
ThanksYaaa..you belong to each other I appreciate you...