Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Simba kageuka paka, kawa mpoleeeNami nasubiri kusikia labda gwaji apokee msamaha wa mondi
Simba kageuka paka, kawa mpoleeeNami nasubiri kusikia labda gwaji apokee msamaha wa mondi
HahahaSiliabudu
Namshangaa ujueHahahaha angejua asingesema hivyo
Nashukuru mama mchungajiSAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :
YesuYESU
SIO
yesu![]()
MunguMUNGU
SIO mungu
![]()
BwanaBWANA
SIO
bwana
Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante![]()

Well said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...Ndo inavyokuwaga kaka, maisha ya walowengi humu ni ya watu tulonao mtaani...
Hatuwezi fanana wote
Tuko tofautiNa naombea tu apokee!
Nambie kipenzi cha kwetuHahaha
Kaka bwana
Hapo sasaaSio rahisi, watu wa kolomije watata sana
Unaugusa Moyo wangu mpendwa, ni vyema tuyajue hayaSAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :
YesuYESU
SIO
yesu![]()
MunguMUNGU
SIO mungu
![]()
BwanaBWANA
SIO
bwana
Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante![]()
Unaugusa Moyo wangu mpendwa, ni vyema tuyajue hayaSAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :
YesuYESU
SIO
yesu![]()
MunguMUNGU
SIO mungu
![]()
BwanaBWANA
SIO
bwana
Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante![]()
Amen ubarikiwe sanaKila wakati Mungu ni mwema, nafurahia ukuu na baraka zake pia
Dunia hii ya Mola, hamna sababu ya kuchukiana wala kudharaulianaWell said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...
Nakupenda bure YaaniNambie kipenzi cha kwetu
HahahaHuwa siwezi kuzuia hisia zangu liwalo na liwe
Kesho yako anaijua MunguHakika sipati picha kwa mwenendo huu sijui kesho kutatokea nini
Kuna makapuku wanachukua masters uk, lakini kuna kapuku mfanyabiashara mkubwa sana dar nk. Hiki ni kijiwe cha kuondoa stressWell said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...
Leta mchezo uone![]()
![]()
![]()
mapaka yanakuja kutetea penzilako kweli umeamua
HakikaKesho yako anaijua Mungu
Shimbaaa!Well said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...