Makapuku Forum

Makapuku Forum

SAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :

Yesu[emoji736] YESU[emoji736]SIO
yesu[emoji735]

Mungu[emoji736] MUNGU[emoji736]SIO mungu[emoji735]

Bwana[emoji736] BWANA[emoji736] SIO
bwana

Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante[emoji120]
Asante mama mchuchu kwa kutukumbusha [emoji120] ubarikiwe
 
Well said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...
huyo shunie mpumzisheni jamaan [emoji134]
 
Back
Top Bottom