Makapuku Forum

Bongo ukivaa uhusika kama changudoa kwenye mchezo watu huamini hadi mtaani utazomewa.
Watu wengi wanashindwa kutusoma humu kwa njia zetu za mawasiliano tukiwa humu, jina kapuku linawasumbua sana na kuamini sisi ni malofa flani, wanashindwa kuelewa tuwamo huku tunavaa tu uhusika flani, wanaona tu kapuku hata ktkk maisha ya kila siku.
HUU NI MTAZAMO HASI KABISA.
HUMU WATU WANA MAISHA YAO LABDA HATA KUWAZIDI WENGI WANAOJIONA BABKUBWA.
 
Mkuu usiende mbaaali sana
 
Ndo inavyokuwaga kaka, maisha ya walowengi humu ni ya watu tulonao mtaani...
Hatuwezi fanana wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…