Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyo jamaa kwangu hana credibility yo yote na naamini kuwa pengine ana matatizo ama ya kisaikolojia au zaidi ya hapo. Na katika hii serikali kuropoka ni kawaida. Kila mmoja anataka atoe mropoko wenye kuvuma zaidi ya mwingine. Na huyu kwa vile anajua kuwa hawezi kuguswa hata aropoke vipi basi kuropoka anaropoka kweli.

Kwa kutoa kauli hiyo ni wazi pengine alikuwa anajua Roma alipo. Wambane (kama kuna wa kumbana) aseme na Ben Saanane atapatikana lini. Hovyooooo!!!
Bila shaka umeanza kunielewa kuwa serikali iko nyuma ya utekaji wa Roma, ninaposema serikali simaanishi ni rais bali waliopewa dhamana na kuaminiwa naye na wanayatumia madaraka na imani waliyopewa vibaya.
Bashite ni sehemu ya hiyo serikali, kauli yake ni kauli ya serikali ktkt eneo lake la utendaji ni rais wa darisalama
 
_*Wiki mbili baada ya harusi,Mama alimuuliza Bintiye,Vp maisha ya ndoa? mtoto akajibu, Du kama British Airways. Mama akatoka mpk airport kuangalia ratiba akakuta inatua kwa wiki mara 7, na ktk kila siku 1 inaenda trip 3, na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja. Mama akazimia.*_



Kilichomzimisha ni kuelekea nyuma ya uwanja
 
In short mkuu

Now imefika season 3 episode ya 12

Lucious kama kawaida yake anaendelea kucheza master plan kama unabomjua hashindwii make he is ready to sacrifice any for his benefit japo aliwashangaza wengi kwa kumtaja Anika as the DNA mother of the company sijajua lengo lake ...

Cookies ; kama kawaida yake suala la family haingizi tofauti zake na lucious she play as a mother japo now penzi la mgombea meya yule Angelo linamsumbua make zile flashback alipotoka na Lyon zinamtesa sana but Angelo anajitahidi sana kumpata cookie

Andre :huyu akili zake unazifahamu he is after something from empire ndo maana ata ukikumbuka enzi zake na Rhonda walikuwa wote after empire
Now anampango wa kumuaa kabisa dingili lake mzee Baba lucious japo bado ni ngumu kutekeleza ...ila kitendo cha kumpata Giuliana naona mission yao itafanikiwa kwa tabu kama Nessa atalisanua ...kumbuka ana kundi la shyne

Anika: japo ana mtoto wa hakeem na licha ya Lyon kumtaja kama DNA wa empire still inaonekana kuna mkakati mkali na mzito yeye pamoja na Tariq ..kumbuka ndo anafatilia kifo cha Frank babake frida

Hakeem: bado akili za utoto unamsumbua japo now ana mtoto kwa anika ila sijui kwa sababu hakubahatika kukumbwa na shida walizopata ndugu zake ...kuanzia kufungwa kwa maza na kurise kwa empire ila familia ishamchoka japo ana kipaji cha ajabu as a rapper

Jamal ; baada ya kuteseka na madawa naona rehab katoka salama na sasa anafokasii kwenye mziki wake japo Dmajor na Phillip wapo njia panda kwenye kumiliki Jamal

In summup Empire iko hot now ....
Well impressive
 
  • Thanks
Reactions: Lee
NAPE AONGEA NA WANAOTUMIA MTAMA

609f78901fd3db2c295b22a9a6940114.jpg

Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amezungumza na wapiga kura wake leo katika kijiji cha Chihuta huku akieleza kuwa yeye ndiye aliyemtafutia kura Rais John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.

Kadhalika Nape alizungumzia tukio la kutolewa bastola alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari hivi karibuni na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vichukue hatua.

“Shida niliyonayo wapiga kura wangu huyu jambazi aliyetoa silaha vyombo vya ulinzi nausalama vinafanya nini,” alisema

Alisema kutokana na tukio lile, alihitaji busara zaidi na kutulia kwani kifua chake kina mambo mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom