Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaAnko magu sihusiki
Hata mie sihusiki ila ndo ishakuwa
HahahaAnko magu sihusiki
Hahaha.. amesema alimnong'oneza alie mnyooshea pistol kua airudishe tu, kwamba yeye anayo kubwa kuliko ileNape anawaumiza kichwa wanatamani wamteke



Sa wacheka nini
Unaogopa kukosa huduma eeehSa wacheka nini
Huduma Siwezi kosaUnaogopa kukosa huduma eeeh
Huyu ni mungu baal na sharti abomoleweMungu wa darisalama
Mzee wa serikali umekuja mbio km kawaida yako
Ni kweli sijui kitu!
Swali...walioongozana na Bashite Clouds ni akina nani?
Maana mwenzetu inaonekana una akili
.....

Sasa tutamroga atashindwa hudumaHuduma Siwezi kosa
T ni jembeee
Bongo ukivaa uhusika kama changudoa kwenye mchezo watu huamini hadi mtaani utazomewa.Huyu jamaa anafikiri humu wote ni pipo with low IQ kwavile tunapigaga stori hivyo hatujaelimika wala hatujui siasa chafu au nini na nini
Akisikia tunaikosoa serikali ya msukuma mwenzie basi atakuja rundo la maneno kudefend
Nimeishamzoea
![]()
![]()
![]()
........
Heri mimi mkosa kabila![]()
![]()
![]()
Ukabila kwanza
Siamini katika uchawiSasa tutamroga atashindwa huduma![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba nielewe shemu
Mkuu usiende mbaaali sanaMadenge acha mihemko na ad hominem attacks. Huwa nakuheshimu sana na siamini kama ni wewe unayesema hivi. Kwenye boxing huwa tunasema "You are hitting below the belt". Mpaka na ukabila tena? Low IQ?
Mimi niko huru, sina chama na sitegemei kujikomba kwa mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Lakini pia huwa napenda sana kuangalia mambo kwa pande zote zote na hujitahidi sana fikra zangu kutogubikwa na ushabiki wa kisiasa na mapenzi mahaba. Sasa wewe tayari umeshakimbilia kunihukumu!
Na kwa nini una uhasama hivi na mawazo yanayokinzana na msimamo wako? Hatuwezi kuhitilafiana kimtazamo bila kushambuliana? We si mpigania demokrasia wewe? Ni demokrasia gani unayopigania ambayo hairuhusu mawazo usiyokubaliana nayo? Umenisikitisha sana!
Ndo inavyokuwaga kaka, maisha ya walowengi humu ni ya watu tulonao mtaani...Bongo ukivaa uhusika kama changudoa kwenye mchezo watu huamini hadi mtaani utazomewa.
Watu wengi wanashindwa kutusoma humu kwa njia zetu za mawasiliano tukiwa humu, jina kapuku linawasumbua sana na kuamini sisi ni malofa flani, wanashindwa kuelewa tuwamo huku tunavaa tu uhusika flani, wanaona tu kapuku hata ktkk maisha ya kila siku.
HUU NI MTAZAMO HASI KABISA.
HUMU WATU WANA MAISHA YAO LABDA HATA KUWAZIDI WENGI WANAOJIONA BABKUBWA.
Kabila letu umelikimbia tenaHeri mimi mkosa kabila
Naona kuna Mond na NgwajiMkuu usiende mbaaali sana
Nami nasubiri kusikia labda gwaji apokee msamaha wa mondiNaona kuna Mond na Ngwaji
Kesho ibada wale wa Dar mtupe news
SiliabuduKabila letu umelikimbia tena
Hahahaha angejua asingesema hivyoSiamini katika uchawi
We loga ila ujue siku naja mjini nilisindikizwa na mapaka
Nikuonapo roho yangu hupasuka pwaaaaWakimteka Nape watajuta!!!