Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyo jamaa kwangu hana credibility yo yote na naamini kuwa pengine ana matatizo ama ya kisaikolojia au zaidi ya hapo. Na katika hii serikali kuropoka ni kawaida. Kila mmoja anataka atoe mropoko wenye kuvuma zaidi ya mwingine. Na huyu kwa vile anajua kuwa hawezi kuguswa hata aropoke vipi basi kuropoka anaropoka kweli.

Kwa kutoa kauli hiyo ni wazi pengine alikuwa anajua Roma alipo. Wambane (kama kuna wa kumbana) aseme na Ben Saanane atapatikana lini. Hovyooooo!!!
"(Kama kuna wa kumbana)"

means mlopokaji hakamatiki wala hagusiki!!!
 
Yote yana mwisho. Ana swaga kuwazidi akina Idd Amin, Seseseko Mobutu Kuku Ngbendu Wa ZaBanga na mabashte wengine waliomtangulia? Haoni wanavyoozeana katika shimo la takataka la Historia? Swaga zenyewe za kubebwa? Puliiiiz!!!
2f13bc93e001492ce88a879e91498a2d.jpg
 
eb5a2ba075482e4c33aa2faa418dd9a6.jpg

Game limeisha
Kwa matokeo haya Yanga kusonga mbele ni ngumu km mnavyojua Waarabu wakiwa kwao ni full figisu
*Kujidondosha ili wapate penalty/faulo
*kuongrzewa dk nyingi za majeruhi
*Game kupigwa usiku
*Yanga kuchezea kadi za kutosha
*figisu nje ya uwanja

Wabongo bado hatujui kutumia uwanja wa nyumbani
.......
Kwelii kabisaa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom