Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
NakupendaNo mamie!
Katika kitu ambacho unacho kwangu ni ulinzi in 24hrs kila siku ya maisha yako.
Hakuna hata mbu atakaetua juu ya ngozi yako..
NakupendaNo mamie!
Katika kitu ambacho unacho kwangu ni ulinzi in 24hrs kila siku ya maisha yako.
Hakuna hata mbu atakaetua juu ya ngozi yako..
Love you too mama wa watoto wangu..Nakupenda
Madenge hujanielewa na sijui ni kwa nini umehemka wakati siyo kawaida yako. Ni wapi nimesema kuwa hujui kitu? Kuna mtu ambaye hajui kitu hapa duniani? Na mimi siyo mtu wa serikali. Sijawahi kufanya kazi serikalini na sina uhusiano wo wote na serikali hii wala nyinginezo. Hata hivyo nina tabia ya kukwepa hii tabia ya kutazama mambo kishabiki, kijuu juu bila kuzingatia visababishi na mazingira. Nimesoma soma falsafa, logic na mambo mengine mchanganyiko na hii imenijengea tabia ya kuangalia mambo kwa mantiki kidogo. Na ukisoma comment yangu hapo juu utaona nilichokuwa najaribu kusema.Mzee wa serikali umekuja mbio km kawaida yako
Ni kweli sijui kitu!
Swali...walioongozana na Bashite Clouds ni akina nani?
Maana mwenzetu inaonekana una akili
.....



Afadhali kama Umesahau

OKMadenge hujanielewa na sijui ni kwa nini umehemka wakati siyo kawaida yako. Ni wapi nimesema kuwa hujui kitu? Kuna mtu ambaye hajui kitu hapa duniani? Na mimi siyo mtu wa serikali. Sijawahi kufanya kazi serikalini na sina uhusiano wo wote na serikali hii wala nyinginezo. Hata hivyo nina tabia ya kukwepa hii tabia ya kutazama mambo kishabiki, kijuu juu bila kuzingatia visababishi na mazingira. Nimesoma soma falsafa, logic na mambo mengine mchanganyiko na hii imenijengea tabia ya kuangalia mambo kwa mantiki kidogo. Na ukisoma comment yangu hapo juu utaona nilichokuwa najaribu kusema.
Jibu: Walioongozana na Bashite Clouds mimi nitawajuaje? Ukimuuliza Bashite mwenyewe swali hili si atakujibu tu tena kirahisi? Madenge bwana!![]()
Kwa leo yatosha bae!!!Love you too mama wa watoto wangu..
Madenge acha mihemko na ad hominem attacks. Huwa nakuheshimu sana na siamini kama ni wewe unayesema hivi. Kwenye boxing huwa tunasema "You are hitting below the belt". Mpaka na ukabila tena? Low IQ?Huyu jamaa anafikiri humu wote ni pipo with low IQ kwavile tunapigaga stori hivyo hatujaelimika wala hatujui siasa chafu au nini na nini
Akisikia tunaikosoa serikali ya msukuma mwenzie basi atakuja rundo la maneno kudefend
Nimeishamzoea
![]()
![]()
![]()
........
Siyo kweli!Ukitaka kumuona jamaa anaandika "kisomi" wakosoe tu wale Wasukuma wawili
Mtabishana siku nzima....
Ni km team kudefend Le Mutuz fact zitaletwa za kutosha
![]()
![]()
![]()
.......
Yupo o'bay..Kwa leo yatosha bae!!!
Em Niambie Roma kaonwa wapi
Madenge acha mihemko na ad hominem attacks. Huwa nakuheshimu sana na siamini kama ni wewe unayesema hivi. Kwenye boxing huwa tunasema "You are hitting below the belt". Mpaka na ukabila tena? Low IQ?
Mimi niko huru, sina chama na sitegemei kujikomba kwa mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Lakini pia huwa napenda sana kuangalia mambo kwa pande zote zote na hujitahidi sana fikra zangu kutogubikwa na ushabiki wa kisiasa na mapenzi mahaba. Sasa wewe tayari umeshakimbilia kunihukumu!
Na kwa nini una uhasama hivi na mawazo yanayokinzana na msimamo wako? Hatuwezi kuhitilafiana kimtazamo bila kushambuliana? We si mpigania demokrasia wewe? Ni demokrasia gani unayopigania ambayo hairuhusu mawazo usiyokubaliana nayo? Umenisikitisha sana!
SawaSiyo kweli!
Kuna watu wanafikiri kuwa watakuwa madarakani maisha yao yote. Na huyu Bashite angali kijana bado. Ngoja tuone atakakofika lakini hata kama unapendwa na baba wa familia namna gani, na uko spoiled kabisa kabisa, kuna wakati common sense itakukanya tu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa huyu dogo pengine ana tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na makuzi yake ya kujikomba komba na kujipendekeza kwa watu.
There is nothing to fear rather than fear itself.... Aksante nape kuna jambazi mteka watuNAPE AONGEA NA WANAOTUMIA MTAMA
![]()
Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amezungumza na wapiga kura wake leo katika kijiji cha Chihuta huku akieleza kuwa yeye ndiye aliyemtafutia kura Rais John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.
Kadhalika Nape alizungumzia tukio la kutolewa bastola alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari hivi karibuni na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vichukue hatua.
“Shida niliyonayo wapiga kura wangu huyu jambazi aliyetoa silaha vyombo vya ulinzi nausalama vinafanya nini,” alisema
Alisema kutokana na tukio lile, alihitaji busara zaidi na kutulia kwani kifua chake kina mambo mengi.
Swaga za Bashite sio za nchi hiiKuna watu wanafikiri kuwa watakuwa madarakani maisha yao yote. Na huyu Bashite angali kijana bado. Ngoja tuone atakakofika lakini hata kama unapendwa na baba wa familia namna gani, na uko spoiled kabisa kabisa, kuna wakati common sense itakukanya tu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa huyu dogo pengine ana tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na makuzi yake ya kujikomba komba na kujipendekeza kwa watu.
Huyu Roma naye basi akate mzizi wa fitina aseme kilichompata na waliomteka; na wachukuliwe hatua. Vinginevyo Tanzania hii itageuka kama Mexico ambako kutekwa ni jambo la kawaida tu. Tabia hii ikiachiwa, basi tunakoelekea kama taifa wala siyo kuzuri!
Na kama kuna la kujifunza hapa basi nguvu hizi zilizofanikisha kupatikana kwa Roma zielekezwe katika kumtafuta Ben Saanane. Kumbe inawezekana!
We enjoy leo ila kesho utuletee kitu mbasharaSamahanini sana leo sitaweka je wajua? Nipo na ka trip kidogo.