Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bongo ukivaa uhusika kama changudoa kwenye mchezo watu huamini hadi mtaani utazomewa.
Watu wengi wanashindwa kutusoma humu kwa njia zetu za mawasiliano tukiwa humu, jina kapuku linawasumbua sana na kuamini sisi ni malofa flani, wanashindwa kuelewa tuwamo huku tunavaa tu uhusika flani, wanaona tu kapuku hata ktkk maisha ya kila siku.
HUU NI MTAZAMO HASI KABISA.
HUMU WATU WANA MAISHA YAO LABDA HATA KUWAZIDI WENGI WANAOJIONA BABKUBWA.
Well explained!
 
Wakuu hamjambo nawasalimu kwajina la bwana

Shunie hu mzma wewe naona transcend , shimba wa buyense, mondray wanakunyapia nyapia......
Mi nimeshajitoa mkuu kwa sababu mchuano ni mkali mno. Sijawahi kuona mwanamke anagombaniwa na midume lukuki namna hii. Sijui ana nini huyu Shunie. Kama nilivyosema, mimi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Couple za hapa ngoja tuziache zipumzike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom