Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukienda kwenye thread ya mtu ukapiga stori unakula ban sasa hivi..

Bora hapa kijiweni kwetu makapuku..!
Na ukienda kwa "mastaa" unaonekana unajipendekeza

Hiyo sheria ya ban imeanza lini!
hongereni sana kwa kubuni hii kitu mmetusaidia na sisi wengine kujiachia
Hongera ni kwa Makapuku wote coz tuna ushirikiano km mchwa...simmeona Wakongwe Forum ilivyokufa kwa aibu maana walijaribu kujibu mapigo
Hongereni kwa kuliona hilo
Hongera ni kwetu sote
One love
........
 
Habari za mchana..
Bitoz kama utaandaa biography utueleze ulipataje idea ya kuutengeneza makupuku forum.
Pia uruhusu tuulize maswali.
....
Mkuu kesho nitaweka bundle la kutosha ila sitakuwa na cha kueleza zaidi ya kujibu maswali yatakayoulizwa hiyo ishu labda ataelezea Mussolini

Hata muda huu mpo huru kuuliza
..........
 
Na ukienda kwa "mastaa" unaonekana unajipendekeza

Hiyo sheria ya ban imeanza lini!

Hongera ni kwa Makapuku wote coz tuna ushirikiano km mchwa...simmeona Wakongwe Forum ilivyokufa kwa aibu maana walijaribu kujibu mapigo

Hongera ni kwetu sote
One love
........
Ushirikiano ambao huko humu

Never seen before

Kila uchao wanaibuka new kapukuz member

Live long makapuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom