Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Ni mwendo WA pipi na maji
Inaonekana leo una upako mama, nije uniombee
Bar Shite
OwkeyUnapita.....haraka sana..mimi niko tayari kuupokea
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kumbe ndiye kampoteza?Halafu una tabia mbaya wewe Clkey ndio umempoteza kabisa humu ndani?
Yohane shikamooMbona wataka kutamka jina halisi!!!
Ile Movie ni balaa japo wanasema movie ya Hotel Rwanda ndio imebase katika uhalisia zaidi.
Pia kuna movie inaitwa Shooting Dogs nayo yaelezea kuhusu mauaji ya kimbari.
Poa poa, we icheki.Hii nakumbuka vizuri kuna mjeda amecheza muvi vizuri sana
hii pia wahusika wamecheza vizuri sana
Hii sijawahi kuicheki ngoja niitafute![]()
......
Sura najuaHata sura humjui?
No thank youYohane shikamoo
Sasa mpaka nitamke kwa English mkuu?No thank you
Yohana=John (kwa kimalkiaSasa mpaka nitamke kwa English mkuu?
Yohana=John (kwa kimalkiaSasa mpaka nitamke kwa English mkuu?
Yohana=John (kwa kimalkia)Sasa mpaka nitamke kwa English mkuu?
So, was i correct?Yohana=John (kwa kimalkia)
Yohana=Yahya( kwa kiarabu)
Mwambie aweke picha.Sura najua
Afichwe tuMtafute asije akawa kafichwa