Makapuku Forum

2012 - Steven Kanumba anafariki Dunia.

Ni muigizaji nguli na mashuhuri kuwahi kutokea nchini Tanzania.

Mazingira ya kifo chake yamebaki ya kutatanisha mpaka leo.

Toka afariki, tasnia ya filamu imeyumba kwa kiasi kikubwa.


Alivyokufa tu na bongo movie ikafa
Siku hizi haina soko wala mvuto kina Ray wapo bize kunywa maji mengi
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…