Makapuku Forum

1972 - Rais wa Zanzibar Abeid Amani Karume anauwawa kwa kupigwa risasi 8 mwilini mwake alipokuwa anacheza bao makao makuu ya ASP huko Kisiwandui.

Risasi hizo nane alizopihwa ni sawa na miaka 8 ya utawala wake.

Inasemekana aliuwawa na Luteni Humoud ambaye ni kama alikuwa analipiza kisasi cha kuuwawa kwa baba yake.

Wapo wanaosema kuuwawa kwa Karume ni Jaribio lililoshindwa kupindua serikali yake hivyo wakaamua kumuua tu.

Pia wapo wanaosema kupishana kwake kauli na JK Nyerere kuligharimu uhai wake kwani aligoma kuhusu muundo wa Muungano ambapo alidiriki kusema Muungano ni kama koti likikubana unalivua, pia aligoma kabisa kuunganisha vyama vya ASP na TANU ili izaliwe CCM. Kauli hizo zinadaiwa kumchefua Nyerere.
 
Hakika umoja ni nguvu
 
Morning lovie..

Hope umeamka salama mama..

Leo nimecheleww kuamka kidogo mamie..! Ile dozi ya jana sio kabisa..

On the way the way!

Nakupenda mke wa maisha yangu..

Have a blessed day
Morning too babe!!!

Mie leo nimeamka poa thanks to you and your prayers!!

Niko tu nyumbani leo napumzika
 
Bado tarehe ya kumbukumbu ya ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…