Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Ndio hata kuniaga baiby. Ila usijali nimelitunza penzi lako wala sijachepuka
Asa baby unadhani hizo nimejinunulia mimi?
Si nataka nikuvutie wewe!!!![]()
![]()
![]()
Thats very true...Nakumbuka akati nasoma divinity kuna sehemu tulisoma kua wanaisraeli hawakutumia njia ya moja kwa moja kwa sababu kulikua na maadui huko kwahiyo iliwabidi wazunguke sana kukwepa maadui
Hahaha kwakwel![]()
![]()
![]()
Watu na majina yao shem wane
Eee ! Hahahaa eti nyegeiMkuu ni Nyagei
Sio Nyegei
BTW heshima yako QUIGLEY
Hahaaa!Ndio hata kuniaga baiby. Ila usijali nimelitunza penzi lako wala sijachepuka
KaribuuMakapuku mpo?
Mnaendeleaje na ukapuku wenu?
Mambo zako shemela wangu wa nguvu..Utazikuta ukija
HahahaaToa hiyo my.
HhahahaaaHuyu jamaa kaniacha hoi sana
![]()
Okk naanza kuelewaInawezekana kabisa, watalaamu wa picha wanaweza kugeuza. Chakochangu
Ukiangalia hii picha hapa chini yenye rangi original yake ni hiyo mchezaji kavaa jezi nyekundu.
View attachment 491468
View attachment 491469
Ntakuja kukuelewesha
Kwema tuu mkuu..Tupeane michongo wapi mademu wa bei chee...hiki kibaridi sio mchezo