Makapuku Forum

Makapuku Forum

Good morning wanafamilia pendwa ..
557787813fcbba3c5664446ff6c5fabf.jpg
 
Barclays premium league
Matokeo ya mechi 5/4/17
1ef547fee4b2e64d73ac19fd550178f3.jpg

Msimamo ulivyo sasa
63fd2981e115c7f9a7a25c5783be3cfb.jpg


Wakati unamfurahia hazard na ubora wake pia endelea kumkumbuka Perez na zile paund million zake...... Namna anavyotafuta goli, namna anavyofunga na namna anavyochukua Kijiji basi ndivyo na pochi ya Abromovic inavyokaribia kutuna.

Phabian Delphi mpira ulikuwa kwenye miguu yake , kuna wakati alikuwa anapiga pasi tu, kuna wakati alikuwa anaendesha timu kwenda mbele na kuna wakati alimfanya Kante abaki chini zaidi na kuwafanya City kulitawala eneo la katikati na mchezo mzima kabla ya mapumziko.....

Kutokuanza kwa Nemanja Matic kuliwapa faida sana City katika kipindi cha kwanza katika kiungo.... Ila kuingia kwa Nemanja Matic kuliwapa hasara zaidi Manchester city sababu ya nafasi kuzibika kwa ile mianya iliyokuwa ikionekana awali na kuwafanya City kulitawala eneo la kiungo...... Baada ya Nemanja Matic kuingia, Chelsea walionekana kuwa Wengi katikati na kuwaweka bize Manchester city muda mwingi wa mchezo kitu kilichopelekea kupunguza uimara wa city wa awali.

Chelsea anaendelea kumkimbia Tottenham Hotspur katika uhakika wa kunyanyua ndoo Msimu huu....

Chelsea 2-1 Manchester city (hazard 2, Aguero 1)



Barclays premium league
Matokeo ya mechi 5/4/17
1ef547fee4b2e64d73ac19fd550178f3.jpg

Msimamo ulivyo sasa
63fd2981e115c7f9a7a25c5783be3cfb.jpg


Spurs wanatia moyo sana..... Mipango yao inaanza kuizoea ligi sasa..... Ubora wao unaanza kuizoea ligi sasa..... Wachekazaji wao wanaanza kuizoea ligi sasa ila pia miguu yao naona sasa imenogewa na top four.....

Work hard Spurs a hero could be any one... Kile mlichokifanya baada ya goli la kwanza ndicho kilichowafanya muwe ndani ya mbio za ubingwa..... What's a passion..!

Swansea city 1-3 Tottenham Hotspur.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom