Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa hapa Tanzania wapo wadada maarufu kwenye muziki wa bendi, hukosi kuwataja kina Kida Waziri, Ngalula, Frida, na kina Kinasha(sitawataja wale maarufu kwenye miziki ya taarabu)

Kwa wapenzi wa 'urban blues' utamkuta mwanamama Willie Mae ‘Big Mama’ Thornton, huyu alikuwa ni bonge wa vyote, wajihi, sauti ya kusisismua na kuwasilisha ujumbe kwa kuimba. Aliimba wimbo uliokaa kwenye chat za R&B kwa wiki saba, hii ni mwaka 1953.
Hapa anaimba na Buddy Guy


92a9bb71421b82c69efa78f34e5ffafd.jpg
6cbd2150d3f76d712602a13a0e7ae3e3.jpg
1b70819ae15412e5bacbc5600a8159cb.jpg
Kida Waziri "wifi zangu mna mambo"
Umenikumbusha mbali
55690f18c800f853b0f4f9a323142a33.jpg

Huyu ndo Willie Mae wakati akiwa ktk ubora wake
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom